Mwanamke myenye miaka 27+ na hajaolewa wanakuwaga na stress Sana, Kuna baadhi nawaonaga niliskuli nao na wengine tulikuliaga kitaa kimoja Wana waza Sana kiasi kwamba nawaonea huruma, zifuatazo ni...
Aisee mimi nilikuwa nafukuzia manzi (bonge la pisi ana tako sura usiseme) ila alikua na mchizi wake akawa ananikazia japo kwa mbali kulikuwa na matumaini kidogo.
Sasa manzi akashika mimba ya...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema vijana wake wapo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly na wanahitaji kupata mabao mengi nyumbani, ili kujitengenezea mazingira mazuri...
Habari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa...
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
Nimeona wahanga wengi wakisema walifunguliwa na wasaidizi, Hilo likapelekea niweze kuhusu uwezekano wa kasia kuvunja mlango. Kumbuka mlango unafungwa kutoka nje. Hivyo resistance ni kubwa kama...
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepata hasara ya Sh894 milioni licha ya kupokea ruzuku ya Sh4.55 bilioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.